Mkuu wa mkoa wa Iringa amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mufindi iliyopo katika eneo la Igohole na kuridhishwa na kasi ya ujenzi.Rc Hapi amewapongeza watendaji na viongozi wa Mufindi na kuwahimiza kuongeza kasi zaidi ili kumaliza kwa wakati.Mkoa wa Iringa unajenga hospitali tatu mpya ikiwemo hospitali ya wilaya ya Iringa vijijini,Kilolo na Mufindi ambazo zote ziko katika hatua nzuri.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.