SERIKALI Mkoani Iringa kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (IRUWASA) imetiliana saini na wakandarasi mbalimbali mikataba minne ya ujenzi wa miradi ya maji yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.6 ambayo baada ya kukamilika kwake inatarajiwa kuhudumia wananchi zaidi ya elfu 12 na kuongeza upatikanaji wa maji Mkoani Iringa kwa asilimia 1.2
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.