
KUELEKEA MBIO ZA THE GREAT RUAHA MARATHON
Posted on: July 1st, 2025
Mhe. Kheri James Mkuu wa Mkoa wa Iringa ameongoza kikao kazi kilichofanyika ndani ya Hifadhi ya Ruaha National Park.
Mhe Kheri James ameambatana na viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama...