Mhe. Kheri James Mkuu wa Mkoa wa Iringa ameongoza kikao kazi kilichofanyika ndani ya Hifadhi ya Ruaha National Park.
Mhe Kheri James ameambatana na viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa na wilaya kwa lengo la kuojionea maandalizi ya mbio za The Great Ruaha Marathon zitazofanyika tarehe 5/7/2025 ndani ya Hifadhi ya Ruaha ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanziani.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.