• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • UTALII IRINGA
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

WANAFUNZI WATAKIWA KUSOMA KWA BIDII- KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA

Posted on: May 23rd, 2018


Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa

Wanafunzi nchini wametakiwa kusoma kwa bidhii ili kuunga mkono uwekezaji wa serikali katika sekta ya elimu ili ichangie katika uchumi wa viwanda.

Kauli hiyo iliyolewa na kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho alipokuwa akitoa ujumbe wa Mwenge wa Uhuru katika sekondari ya Igombavanu wilayani Mufindi.

Kabeho alisema kuwa serikali imeondoa ada na michango shuleni ambayo ilikuwa ni kero kwa wananchi ili wanafunzi wengi waweze kufurahia haki ya kupata elimu. Alisema kuwa elimu ni muhimu sana kwa jamii katika utekelezaji wa dhamira ya serikali ya kuelekea uchumi wa viwanda mwaka 2025. “Uchumi wa viwanda unategea sana uwekezaji katika elimu. Serikali ya awamu ya tano kwa kuona umuhimu huo, iliamua kutoa elimu bila malipo ili watanzania wote wapate elimu hiyo msingi” alisema Kabeho. Aidha, aliongeza kuwa serikali imedhamiria kuboresha elimu kaunzia ya awali hadi elimu ya juu. Uboreshaji wa sekta ya elimu nchini unakwenda pamoja na ukuaji wa elimu ya ufundi na ufundi stadi kwa kuweka msisitizo katika maendeleo ya sayansi, teknolojia na ubunifu, aliongeza.

=30=

Matangazo

  • Taarifa ya Uchaguzi wa Serikari za Mitaa Mkoa wa Iringa 2019 November 26, 2019
  • Ratiba ya Mhe. Mkuu wa Mkoa kwa Mwezi Machi March 08, 2019
  • Ratiba ya Mh. Mkuu wa Mkoa kwa Mwezi Aprili April 04, 2019
  • Rc Hapi Aanza Ziara Kukagua Miradi Halmashauri Za Iringa August 27, 2019
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mwenendo wa Hali ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2019 Mkoa wa Iringa

    November 26, 2019
  • Mkuu wa mkoa wa Iringa na Katibu Tawala wa Iringa akipokea Tuzo yakushika nafasi ya tatu kitaifa katika matokeo ya darasa la 7

    October 30, 2019
  • DR.ROBERT SALIM,ATOA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU KAMPENI SHIRIKISHI DHIDI SURUA,RUBELA NA POLIO

    October 18, 2019
  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akiwa katika Kiwanda cha maji cha Mkwawa

    October 04, 2019
  • Tazama zote

Video

Mh. Ally Hapi akaribisha Wawekezaji Iringa
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Pawaga Road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2019, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.