• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Videos

  • MILLIONI 583 KUJENGA SHULE MPYA YA SEKONDARI KIBENGU-USOKAMI

    September 20th, 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Leo Septemba 09,2024 amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miradi katika Halmashauri ya Wilaya ya MufindiAkiwa katika ukaguzi huo  Mhe. Serukamba  kwanza ameishukuru Serikali ya awamu ya sita  inayoingozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi kwaajili ya ukarabati na ujenzi wa shule za msingi na sekondari jambo ambalo linaenda kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kupata elimu.Moja ya mradi aliotembelea ni mradi wa shule Mpya ya Sekondari ya Kibengu ambayo ujenzi wake unagharimu kiasi cha shilingi Millioni 583 ambapo akiwa hapo Mhe. Serukamba ameridhishwa  na mradi huo ulipofikia huku akiagiza kuendelea kuongeza kasi ili majengo ya shule hiyo yaweze kukamilika kwa wakati.Nao baadhi ya Wananchi wametoa shukrani nyingi kwa Serikali kwa kuwajengea shule na kuboresha miundombinu ya shule kwa kusema kuwa miradi hiyo ikamilike kwa wakati ili wanafunzi waondokane na adha ya kutembea umbali mrefu kupata elimuSambamba na hayo Mhe. Serukamba ameipongeza Halmashauri hiyo kwa kuwahi kuanza kutekeleza  ujenzi wa miradi hiyo kwani kwasasa hakutakuwa na changamoto ya kukwama kwa miradi kwa kisingizio cha mvua

  • RC SERUKAMBA AMKABIDHI MWENGE WA UHURU MKUU WA WILAYA YA MUFINDI DKT.LINDA SALEKWA

    June 22nd, 2024
  • KAMPENI YA UPIMAJI HALI YA LISHE KWA WATOTO YAZINDULIWA.

    June 12th, 2024

    Mkoa wa Iringa ambao ni kinara kwa uzalishaji wa vyakula sasa inaondokana na hali ya udumavu ambapo Mkuu wa Mkoa , Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni maalum ya kupima hali ya lishe kwa Watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ambapo kwa Mkoa mzima ni watoto 2,059,204/= ili kubaini viashiria vya udumavu


    Kampeni hiyo imezinduliwa na kuanza rasmi leo Juni 12,2024 katika vituo vyote vya afya vilivyo ainishwa .


    Akizungumza katika kikao cha kamati ya afya ya msingi Mhe. Serukamba amesema kuwa kuhusu kampeni maalam ya kutathimini hali ya lishe kwa Watoto wote wenye umri chini ya miaka 5 itakayofanyika kuanzia leo mpaka Juni 15,2025 kwa Mkoa mzima.


    “Kinachotakiwa kwenu Wajumbe ni kutoa hamasa katika jamii, kusimamia shughuli za kampeni,kushirikiana na Wadau mbalimbali ili kufikia maendeleo na kufanikisha zoezi la ufanyaji wa tathmini ya hali ya lishe kwa Watoto Mkoani Iringa na kuepusha upotoshaji wowote utakaoweza kujitokeza lakini pia Wajumbe wa kamati hii mnapswa kuhakikisha mnakanusha taarifa za upotoshaji unaoweza kujitokeza katika kampeni hii ”


    Kwa upande wake Afisa lishe wa Mkoa wa Iringa ,Anna Nombo amesema timu ya Wataalam 343 kwa Mkoa watafanya vipimo ili kutathimini hali ya lishe na kupima kimo au urefu, uzito pamoja na mzingo wa kati wa sehemu ya juu ya mkono,kuangalia hali ya chanjo, kuangalia uwepo wa uvimbe mbonyeo katika miguu yote miwili , uwepo wa magonjwa sugu,ulemavu , hali ya ukamilishaji wa umezaji wa dawa za minyoo na kutambua uelewa wa malezi ya watoto.


    Pia ameongeza kwa kusema kuwa baada ya mtoto kupimwa , mtoa huduma atatakiwa kufanya tafsiri ya hali ya lishe ya mtoto husika ndipo mtoto atakayekutwa na hali duni ya lishe mzazi wake atatakiwa kufatiliwa namna ya malezi yake na ulishaji wa mtoto wake kupitia dodoso maalum ili itakapofikia hatua ya utatuzi kuweza kuitatua changamoto hiyo.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • Next →

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • MIRADI YA MAENDELEO YENYE DHAMANI YA ZAIDI YA BILLIONI 30 KUPITIWA NA MWENGE WA UHURU MKOA WA IRINGA

    April 24, 2025
  • RC SERUKAMBA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA BI. ANNA KIBAO ALIYEKUWA MTUMISHI WA OFISI YA MKUU WA MKOA IRINGA

    April 19, 2025
  • TANZIA

    April 15, 2025
  • KARIBU MWENGE WA UHURU MKOA WA IRINGA 2025

    April 13, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

Related Links

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.