• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Videos

  • RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.

    January 29th, 2025

    Ikiwa ni mwendelezo wa ziara za Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Januari 27, 2025 ametembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kufanya Mkutano wa hadhara Kijiji cha Itunundu, tarafa ya Pawaga huku akiwahimiza wananchi kufanya kazi kwa bidiiAkizungumza wakati wa mkutano huo na wanakijiji Mhe. Peter Serukamba amesema kuwa changamoto zote zilizowasilishwa na wanakijiji zitafanyiwa ufumbuzi haraka iwezekanavyo huku akiwataka wanakijiji wa Itunundu kufanya kazi kwa Bidii kupitia miradi ya maendeleo iliyopo kijijini hapo."Niwaombe mfanye kazi kwa bidii Serikali inawekeza kwenye umwagiliaji, Serikali inawekeza kwenye mashule inawekeza kwenye umeme, inawekeza kwa kila kitu lakini kama wewe mmoja mmoja hufanyi juhudi bado tutaendelea kuilaumu Serikali wakati Serikali imefanya kila kitu."Sambamba na hayo Mhe. Serukamba ameupongeza uongozi wa Halmashauri hiyo kwa namna walivyopambana katika utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya maendeleo

  • RC: SERUKAMBA ELIMU NDIO NGUZO YA MAENDELEO YA JAMII NA UCHUMI

    September 20th, 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amehimiza Wazazi na Walezi  Nchini kuhakikisha watoto wao wanapata Elimu na kuwahimiza watoto hao juu ya Umuhimu wa Elimu kwani Elimu ndio Nguzo ya maendeleo ya jamii na UchumiAmeyasema hayo leo Septemba 20,2024 wakati akihutubia kwenye mahafali ya wanafunzi wa Shule ya Real Hope iliyopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga Wilaya ya Mufindi.Mhe Serukamba Amesema kuwa jambo kubwa ambalo watoto wanatakiwa kurithi kutoka kwa wazazo wao ni Elimu hivyo wazazi  wametakiwa kulipa kipaumbele suala la elimu ili kuleta maendeleo katika jamiiAidha Mhe. Serukamba ameongeza kwa kuwataka wasomi wote kujijengea tabia ya kujifunza kila siku kwa kusoma vitabu mbalimbali kwani kwa sasa sayansi na Teknolojia ikekuwa kwa kasi tofauti na hapo awali.

  • RC: SERUKAMBA AMKALIA KOONI MZABUNI, FUNDI NA AFISA MANUNUZI-KILOLO

    September 20th, 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ameagiza kumfuta kazi fundi anayejenga madarasa katika shule ya Sekondari ya wasichana Lugalo na shule ya Ikokoto kwa kutokamilisha miradi kwa wakati huku akimuagiza afisa manunuzi kumwondoa mmoja wa wazabuni kwa kuchelewesha vifaa vya ujenzi kwenye miradi ya Halmashauri ya Wilaya Kilolo.Hayo yamejiri leo septemba 19,2024 wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa shule ambapo awali alianza kukagua katika shule ya sekondari ya Ifingo ambapo  alikuta mradi bado haujakamilika na vifaa bado havijafika katika eneo hilo na baadae alifika katika shule ya Sekondari Kilolo ambapo huko alikutana na tatizo  la kutokuwepo kwa vifaa vya ujenzi lakini alipofika katika Shule ya Wasichana ya Lugalo napo huko akakutana na kisa kingine ambapo fundi Ndg.Godwin Mshana aliyepewa kazi ya ukamilishaji wa madarasa kasi ya utendaji kazi yake kusuasua ambapo Mhe.Serukamba amemwagiza Mkurugenzi Tarehe 26 mwezi huu kama atakuwa hajafikisha majengo kwenye lenta basi afutwe kazi apewe kazi mtu mwingine huku akimfuta kazi fundi huyo kutoendelea na ujenzi katika shule ya IkokotoPia Mhe Serukamba ameagiza kumondoa Mzalendo ambaye ni mmoja wa wazabuni kwa kushuindwa kupeleka vifaa kwa wakati na kupelekea ujenzi kusuasua na kuagiza kumuweka mzabuni mwingine ambaye ni CF.sambamba na hayo Mhe. Serukamba ameendelea kuwahimiza watendji na wataalamu kusimamia miradi na fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya sita ili iweze kuisha kwa wakati

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • Next →

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.