• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Videos

  • UZINDUZI WA ZAHANATI YA ITAGUTWA

    November 17th, 2022

    Ikiwa ni wiki la Maadhimisho ya Usafi wa Mazingira Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe. Halima O. Dendego akiwa ameambatana na Viongozi wa Afya amezindua Zahanati ya Itagutwa Iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Kata ya Kiwele na Kutembelea Shule Ya Msingi Kitapilimwa Kutazama Ujenzi Wa Vyoo Vilivyojenga na Jumuiya ya Uandisi na Uifadhi wa Mazingira EEPCO kwa kusaidiana na Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa ufadhili wa UNICEFAkitoa taarifa ya Ujenzi wa Zahanati hiyo Mwakilishi wa EEPCO amesema kuwa  shirika hilo lilipokea kiasi cha shilingi Bilioni Nne na Hamsini na hamsini na Nane na Mia Nane Kumi na Tano na Mianne Hamsini kutoka UNICEF ikiwa na lengo la kutekeleza miradi yam aji, Shule na Ujenzi wa Vituo vya Afya pia amesema lengo kuu la EEPCO  ni kushirikiana na Serikali na Taasisi mbalimbali Duniani  ili kuboresha uelewa na kujifunza mikakati mbalimbali ya kuhifadhi mazingira ni kutatua changamoto ya Mazingira mashuleni na katika vituo vya Afya.Akizindua Zahanati hiyo Mhe Halima  Dendego ametoa shukurani kwa EEPCO kwa kazi kubwa wanayoifanya ya Kujitolea kuipambania jamii katika kujenga Zahanati, kujenga Vyoo katika shule na kazi nyingine wanazozifanya huku akiwaomba wananchi hao kuendelea kujitokeza katika kuleta maendeleo kwenye jamii kwa kujitolea katika ujenzi wa Shule na Zahanati na kutunza Miundombinu ambayo imeboreshwa na Shirika hilo na kuwa ahidi kuwa serikali ipo Pamoja nao katika kila jambo watakalotaka kulifanya.Pia Akiwa Katika Shule ya Msingi Kitapilimwa Mhe. Dendego amewapongeza wananchi wa eneo hilo kwa namna wanavyojitoa katika kwenye maendeleo ya elimu na kuwaahidi kuwa serikali ipo Pamoja nao  kama Mkuu wa Mkoa atahakikisha wanashirikiana bega kwa bega katika kuboresha miundombinu ya shule hizo.Nao baadhi ya wananchi wametoa shukrani kwa serikali huku wakiwapongeza wauguzi waliopo katika zahanati hiyo kwa namna wanavyofanya kazi

  • MKOA WA IRINGA WAZINDUA MIONGOZO MITATU YA KUBORESHA ELIMU YA MISINGI NA SEKONDARI

    September 19th, 2022

    Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wa mkoa  amefanya uzinduzi wa kikao cha kupokea maagizo ya Miongozo Mitatu ya Kuboresha Elimu ya  Misingi na Sekondari uliotolewa Agosti mwaka huu Mkoani Tabora na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa katika uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Shule ya wasichana Iringa.(Iringa gilrs) Katika uzinduzi huo Mhe Halima Dendego amewapongeza walimu kwa kazi kubwa  wanayoifanya huku akiwaahidi kushirikiana bega kwa bega kuhakikisha walimu wanapatiwa haki zao za msingi na wanawajibika katika kutoa Elimu Bora. Aidha Mhe. Halima Dendego amesema “Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kila mwaka tutakuwa tunaandaa kikao cha tathimini kwa sekta ya Elimu ili tuweza kuona mafanikio,changamoto na mambo yanayofuata siku za mbele tuweza kuyakabiliwa kwa Pamoja”

  • MAFANIKIO YA TARURA NA TANROADS MKOA WA IRINGA YAPAMBA MBOTO

    March 31st, 2022

    Mhe Queen Sendiga akitoa maelezo ya mafanikio yaliyopatikana ndani ya Mkoa wa Iringa upande wa Barabara (TARURA na TANROADS) ndani ya kipindi cha mwaka mmoja cha Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • Next →

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • UKAZUGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA

    January 27, 2025
  • RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.

    January 27, 2025
  • RC SERUKAMBA AGEUKA KUWA KAMBA, UKAMILISHAJI WA MIRADI YA ELIMU.

    January 23, 2025
  • WAKULIMA WA MKOA WA IRINGA WANUFAIKA NA MFUMO WA UPIMAJI AFYA YA UDONGO

    January 13, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

Related Links

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.