• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

Dkt. MGIMBA AONGOZA TIMU KUKAGUA MIUNDOMBINU YA AFYA IRINGA

Posted on: August 21st, 2025

Dkt. MGIMBA AONGOZA TIMU KUKAGUA MIUNDOMBINU YA AFYA IRINGA

Timu ya Afya  Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa ikiongozwa na Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Credinus Mgimba, imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya afya Ndani ya siku tatu  katika Halmashauri za Mkoa wa Iringa. Lengo la ukaguzi huo ni kuhakikisha fedha zilizotolewa kwa ajili ya miradi ya afya zinatumika ipasavyo na miradi inakamilika kwa wakati.

Ukaguzi huo umejikita katika ujenzi wa vyoo, vichomea taka, pamoja na ukarabati wa vyumba vya kujifungulia (labor ward) na miundombinu mingine ya Zahanati, kati ya zahanati zilizotembelewa ni Zahanati ya Lusinga iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Kilolo yenye ujenzi unaogharimu Shilingi Millioni 58.8 na Zahanati ya Irole yenye mradi wa Ujenzi unaogharimu Shilingi Millioni 59.8 Hata hivyo hali ya ukarabati inaendelea vizuri, ambapo baadhi ya zahanati tayari zimekamilisha utekelezaji wa miradi hiyo.

Aidha, Dkt. Mgimba amewataka viongozi wa afya wa halmashauri pamoja na viongozi wa kijiji kuendelea kusimamia kwa karibu miradi hiyo ili kuhakikisha inakidhi viwango vinavyohitajika na kuongeza ubora wa huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt. MGIMBA AONGOZA TIMU KUKAGUA MIUNDOMBINU YA AFYA IRINGA

    August 21, 2025
  • DKT. SAMIA AIBADILISHA IRINGA KWA Bil. 7.5 ZA ELIMU

    August 05, 2025
  • TAARIFA YA KUWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA MABANDA YA MKOA WA IRINGA

    August 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA DUNIANI

    July 30, 2025
  • Tazama zote

Video

MAENDELEO KWA SASA BILA MAWASILIANO HAYAWEZEKANI- RC KHERI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.