Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama Duniani, Kauli Mbiu ya wiki ya unyonyeshaji mwaka 2025 ni "Thamini Unyonyeshaji: Weka mazingira wezeshi kwa mama na mtoto" Maadhimisho hayo yatafanyika kuanzia tarehe 1 - 7 Agosti, 2025 katika Halmashauri zote tano kupitia vituo vyote vya kutolea huduma za Afya, redio za kijamii, maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji/Mtaa na katika mikutano ya hadhara . Lengo ni kutoa hamasa kwa jamii katika kulinda, kuimarisha na kuendeleza unyonyeshaji.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.