• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

TAARIFA YA KUWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA MABANDA YA MKOA WA IRINGA

Posted on: August 1st, 2025

TAARIFA YA KUWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA MABANDA YA MKOA WA IRINGA KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James, anayofuraha, kuwakaribisha wananchi wote kushiriki na kutembelea mabanda yetu katika Maonesho ya Kilimo na Mifugo ya Nanenane yanayofanyika kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti 2025 katika Viwanja vya John Mwakangale –  Jijini Mbeya.

Katika maonesho haya, Mkoa wa Iringa utakuwa ukionesha mafanikio mbalimbali ya sekta ya kilimo, mifugo, uvuvi, misitu, viwanda vya kuongeza thamani ya mazao, teknolojia bunifu, pamoja na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri, Taasisi na wadau wa maendeleo kutoka mkoani kwetu.

Wananchi watapata nafasi ya:

●Kujifunza mbinu bora za kilimo cha kisasa na mifugo

●Kupata ushauri kutoka kwa wataalam wa sekta mbalimbali

●Kufahamu fursa za uwekezaji na biashara zilizopo ndani ya Mkoa wa Iringa

●Kujionea bidhaa bora zinazozalishwa na wakulima na wajasiriamali wa mkoa wetu

Tunawaalika kwa moyo mkunjufu kutembelea mabanda yetu na kushiriki kikamilifu katika maonesho.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt. MGIMBA AONGOZA TIMU KUKAGUA MIUNDOMBINU YA AFYA IRINGA

    August 21, 2025
  • DKT. SAMIA AIBADILISHA IRINGA KWA Bil. 7.5 ZA ELIMU

    August 05, 2025
  • TAARIFA YA KUWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA MABANDA YA MKOA WA IRINGA

    August 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA DUNIANI

    July 30, 2025
  • Tazama zote

Video

MAENDELEO KWA SASA BILA MAWASILIANO HAYAWEZEKANI- RC KHERI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.