• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

IRINGA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPOKEA UJUMBE WA MWENGE WA UHURU

Posted on: May 22nd, 2018

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa

Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Mwenge wa Uhuru utakaoanza mbio zake mkoani hapa kesho.

Wito huo ulitolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu ujio wa Mwenge wa Uhuru mkoani Iringa hapo kesho.

Masenza alisema kuwa Mwenge Uhuru utaingia mkoani Iringa kesho tarehe 23/5/2018 ukitokea mkoani Mbeya na utakimbizwa katika halmashauri tano za mkoa wa Iringa. Alizitaja halmashauri hizo kuwa ni halmashauri ya wilaya ya Mufindi, Iringa, Kilolo, Manispaa ya Mji Mafinga kabla ya kukabidhiwa mkoani Njombe tarehe 28/5/2018. “Napenda kutoa wito kwa wananchi kwenye Halmashauri zote kujitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Mwenge wa Uhuru. Aidha, wananchi wote bila kujali itikadi zao kujitokeza kwa wingi kuulaki Mwenge wa Uhuru ikiwa ni pamoja na kwenye viwanja vya makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru, miradi ya maendeleo, maeneo ya kutolea ujumbe wa Mwenge wa Uhuru na kwenye viwanja vya mikesha” alisema Masenza.

Aidha, alivitaka vyombo vya habari, kushiriki kikamilifu katika kuufikisha ujumbe wa Mwenge wa Uhuru kwa wananchi na kuwahamasisha kufika kwenye maeneo ambako ujumbe utatolewa.

=30=


Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.