Baada ya kuwasili Mkoani Iringa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Machi 16, 2025 imeanza ziara yake rasmi Mkoani Iringa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Halima Mdee ambapo kamati hiyo imetembelea Mradi wa kituo cha Afya cha Nyalumbu na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lugalo Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.