Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego anapenda kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya Mtihani wa Taifa wa kuhitimu Darasa la saba jumla ya watahiniwa 35,399 (Wav.17/795 na was.17604) wanategemea kufanya mtihani kwa Mkoa wa Iringa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.