• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

Maadhimisho Siku ya UKIMWI Duniani Desemba 01,2019

Posted on: December 2nd, 2019


Akitoa salamu kwa wananchi wa Iringa katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani amesema, Maadhimisho haya yamekuwa yakifanyika kila mwaka duniani kote, pia inatoa fursa ya kukumbushana juu ya janga hili la UKIMWI. Haya ameyasema Mheshimiwa Jamhuri David William   (Mkuu wa Wilaya ya Mufindi) ambaye alikuwa Mgeni Rasmi akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa Mheshimiwa Ally Hapi katika maadhimisho hayo.

Nimefarijika kwa uwepo wenu na kushirikiana katika mapambano dhidi ya UKIMWI, Wana Iringa ni ukweli kuwa, kila mmoja wetu ni muathirika kwa namna moja au nyingine, hivyo kwa nini tusiwajibike kwenda kupima? Tukipima tutajua hali zetu na tukiwa na maambukizi tutatumia dawa , hivyo kuendea kufanya shughuli zetu.

Bado tuna changamoto za unyanyapaa, ukosefu wa usiri kwa watoa huduma, pia watu kujitokeza kwenda kupima pale wanapohisi wanaumwa tu, na umbali wa kwenda kutafuta hutafuta huduma. Suala la kupima na kuanza kutumia dawa mapema litapunguza kasi ya maambukizi mapya na kuimarika afya.

Kupitia maadhimisho haya, nawaagiza Mganga Mkuu wa Mkoa, Waganga Wakuu wa Halmshauri na watoa huduma wote kuendelea kufanya kazi pamoja ili kufikia malengo ya 90-90-90 kw mwaka 2020. Pia nawaagiza Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Iringa kusimamia hospitali kutoa kwa kutoa huduma bora za afya.

Nampongeza Katibu Tawala wa Mkoa Mheshimiwa Happiness Seneda kwa kuandaa maadhimisho haya, pia wadau na wanchani kwa kuonesha bidhaa mbalimbali.

Kauli Mbiu katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI  kwa mwaka huu 2019 ni “Jamii ni Chachu ya Mabadiliko Tuungani kutokomeza Maambukizi ya VVU”.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.