Mkuu Mkoa wa İringa Mhe. Halima O. Dendego akipokea Msaada wa Vifaa vya kujifunzia kutoka kwa Kampuni ya Chai Bora iliyopo katika Halmashauri wilaya ya Mufindi kwaajili ya kuwasaidia Wanafunzi wa Shule ya St. Michael iliyopo katika Wilaya ya Kilolo waliopata ajali kuungua kwa Bweni wiki chache zilizopita.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.