Mhe Mkuu wa Mkoa Ally Hapi na Katibu Tawala Mkoa Bi,Happiness Seneda, pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa leo wamepokea taarifa ya mgawanyo wa vitambulisho vya wajasiriamali.Katika kikao hicho mkuu wa Idara ya Uchumi Bwana Elias Luvanda, amesema kuwa mkoa umepokea vitambulisho hivyo 66,000 na wamekwisha kuvigawa kwenye Wilaya zote (3) ambapo mgawanyo upo kama ifuatavyo
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.