• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

RC HALIMA DENDEGO ATETA NA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU, NA SEKONDARI

Posted on: December 2nd, 2022


Mhe Halima Omary Dendego, Mkuu wa Mkoa Iringa Leo ameongoza mdahalo wa madhimisho ya 16 ya kupinga ukatilii wa kijinsia katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.


Mhe Rc Dendego, amewataka wanazuoni hao kuishi kwa misingi ya imani zao maana Leo kumekuwa na matukio mengi ya ukatilii, ubakaji na ulawiti ambao umekithiri kwa wingi hususani mkoani iringa.


"Leo ukipita vyuoni uko au mitaani utaona mabinti wamevaa nusu uchi je kweli mtashindwa kubakwa? Huo sio ujanja ni ushamba jitunzeni vijana mpaka muda wako ukifika wa kuoa au kuolewa"


Naye Mstahiki Meya Mhe  Ibrahim Ngwada, kabla ajamkaribisha Mkuu wa Mkoa amesema kuwa tumeamua kuandaa mdahalo huu wa kupinga ukatilii wa kijinsia kwa wanazuoni kwa sababu kumekuwa na matukio mengi ya ukatilii hapa Manispaa ya iringa kwa sababu ukatilii huu kwa namna nyingine unasababishwa na waganga wa kienyeji kwa kuwadanganya wateja wao kuwa wakizini na watoto bikra wanapata utajiri, kumbe ni uongo.


Nae mtaalumu wa saikolojia ndugu Leornad Mgina amewataka wanazuoni hao kuzingatia masoma yao( umakini) maana wengi wanatoka kwenye lengo na kukimbilia starehe. Watu wengi wana tatizo la Afya ya akili ndio inayopelekea kufanya ukatilii wa kijinsia.


Pia mdahalo huo umehudhuriwa na viongozi wa dini, mila na waheshimiwa madiwani wa Manispaa ya iringa.


Imetolewa na Afisa habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA - 2023 December 17, 2022
  • MAADHIMISHO YA KARIBU KUSINI MWAKA 2022 September 19, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HERI YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA

    January 27, 2023
  • RC ATETA NA WADAU WA MISUTU AWATAKA WAFANYE BIASHARA KISASA KULINGANA NA USHINDANI WA SOKO.

    January 24, 2023
  • RC DENDEGO AFANYA ZIARA YA KUKAGUA SHAMBA LA SAO HILL NA VIWANDA

    January 23, 2023
  • RC DENDEGO AWATAKA MAAFISA UGANI KUTEMBELEA WAKULIMA NA SIYO KUKAA OFISINI

    January 11, 2023
  • Tazama zote

Video

UZINDUZI WA ZAHANATI YA ITAGUTWA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Pawaga Road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2021, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.