• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

RC SERUKAMBA AGEUKA KUWA KAMBA, UKAMILISHAJI WA MIRADI YA ELIMU.

Posted on: January 23rd, 2025

Kutokana na kutokamilika Kwa miradi ya Elimu msingi na sekondari ,kusuasua Kwa mafundi kwenye maeneo ya miradi ni miongoni mwa vitu vilivyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba kuwa mbogo na kugeuka kuwa Kamba kwa wakandarasi ambao bado hawajakamilisha miradi ya Elimu msingi na sekondari mkoani Iringa.

Hayo yamejili leo Januari 23, 2025 wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya kilolo mkoani Iringa, ambapo akiwa kwenye ukaguzi huo amekuta miradi hiyo kutokukamilika ambaopo hapo awali wakaurugenzi walikubaliana na Mkuu wa Mkoa kuwa miradi hiyo itakamilika mwishoni mwa mwaka 2024.

Akizungumza wakati wa ukaguzi huo Mhe. Serukamba ameoneshwa hali ya kutoridhishwa na kasi iliyopo katika kukamilisha miradi hiyo ambapo amesema kuwa miradi hiyo inapaswa kukamilika Januari 31, 2025 ikiwemo shule ya Sekondari

Ikokoto iliyopo kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo.

Aidha Mhe. Serukamba amemwagiza Mhandisi wa Halmashauri hiyo kuachana na tabia ya kukaa ofisini na badala yake kushinda na kusimamia miradi iliyopo katika halmashauri hiyo.

Mhe. Serukamba ameanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo leo ambapo atahitimisba ziara hiyo Februari 07 mwaka huu.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.