Ikiwa ni mwendelezo wa Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Januari,27,2024 amefanya ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Iringa huku akipongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Akizungumza wakati wa ukaguzi huo Mhe. Serukamba amesema " kwanza kabisa niwapongeze kwa kasi ya ujenzi wa miradi inavyokwenda, ukiangalia mara ya mwisho tulivyokuja na leo unaona kuna mabadiliko makubwa sana kwahiyo niwapongeze sana sana sana"
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.