• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

WAKULIMA WATAKIWA KUTUNZA KUMBUKUMBU

Posted on: August 16th, 2017

Wakulima na wajasiriamali watakiwa kuweka utaratibu wa kutunza kumbukumbu za mahesabu ili kubaini faida na hasara inayopatikana katika shughuli zao.

Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu alipokuwa akifanya majumuisho ya ziara ya kukagua mabanda alipomuwakilisha mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza.

Ayubu alisema “ni vizuri wakulima na wajasiriamali wakafundishwa jinsi ya kutunza kumbukumbu za mahesabu ya kilimo na uzalishaji ili kufahamu gharama na mwenendo mzima wa kazi wanazofanya. Kufanya hivyo kutamsaidia mkulima na mjasiriamali kujua hali halisi ya kazi anayofanya na kuwawezesha kutoa ushuhuda” alisema Ayubu.

Katibu Tawala Mkoa wa Iringa aliwataka wakurugenzi kuhakikisha wanawapangia malengo maafisa ugani ili waweze kutoa tija katika shughuli za kilimo na mifugo. “Hakikisheni wataalam hawa mnawapangia malengo yanayopimika na wawe na mpango kazi unaotekelezeka. Utaratibu huu utawawezesha wakulima na wafugaji kuhudumiwa” alisisitiza Ayubu.

Akiongelea uzalishaji katika mashamba ya kuzalisha mitamba ya serikali ya Kitulo na Sao-Hill, Katibu Tawala Mkoa aliyataka mashamba hayo kuongeza uzalishaji wa mitamba ili kukidhi mahitaji ya mitamba katika mikoa ya nyanda za kuu kusini. “Mahitaji ya mitamba ni makubwa kwa mikoa ya nyanda za juu kusini, hivyo soko ni la uhakika. Kinachotakiwa ni kuzalisha mitamba zaidi” Alisisitiza Ayubu. Aidha, aliyakata mashamba hayo kuongeza matumizi ya teknolojia katika uzalishaji wa mitamba.

Maonesho ya shughuli za wakulima Nanenane mwaka 2017 yanaongozwa na kaulimbiu isemayo, “zalisha kwa tija mazao na bidhaa za kilimo, mifugo na uvuvi kufikia uchumi wa kati”.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAKAMILISHA ZIARA MKOA WA IRINGA NA KUKABIDHIWA MKOA WA NJOMBE

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.