• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh,Queen Sendiga leo tarehe 08.01.2022 amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya mkoa

Posted on: January 8th, 2022

Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh,Queen Sendiga  leo tarehe 08.01.2022 amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya mkoa katika maeneo ya izazi na Pawaga ikiwa ni muendelezo wa ziara zilizopita katika kufanikisha kumalizika kwa miradi yote inayoendelea mkoani Iringa

Ziara ilianzia katika shule ya secondary Isimani ambapo mkuu wa mkoa alikagua maendeleo ya ujenzi wa madarasa mawili ya kisasa unaoendelea shuleni hapo na ziara ilifuatiwa na ukaguzi wa mradi wa maji wa izazi na baadae katika mradi wa maji wa pawaga ambapo Mh Queen Sendiga alikagua na kuelezwa juu ya maendeleo ya miradi ya maji ambayo ni shida kubwa katika maeneo hayo.

Ziara ilimalizika kwa mkutano wa hadhara ambao ulifanyika kata ya Itunundu  Pawaga  na ulikutanisha viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa wilaya , viongozi wa chama cha mapinduzi pamoja na madiwani ambao walijumuika na wananchi pamoja na Mkuu wa mkoa kwenye mkutano huo.aa

Mh mkuu wa mkoa amesifu viongozi wote wa chama na wa serikali kwa maendeleo ya miradi inayo tekelezwa katika kata hiyo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madara  94 katika halamashauri hiyo amabayo itaenda kurahisisha utoaji wa elimu pamoja na kupeleka watoto shule kwa awamu moja tofauti na kipindi cha nyuma wakati kuna uhaba wa madarasa pamoja na miradi ya maji amabyo itaenda kupunguza shida ya maji katika kata hiyo.

Mkuu wa mkoa pia amemtaka Mkurugenzi kuhakikisha  miradi hiyo inamalizika mapema na shida ya maji inatoweka katika kata hiyo na amesisitiza kuhakikisha wananchi wanatunza miundombinu hiyo ili shida ya maji isijitokeze maeneo hayo pamoja na uchangiaji wa maji hayo

 “serikali inatumia gharama kubwa kuleta maji maeneo hayo tutunze miundombinu tuache ubinafsi ni dhambi  , kuiharibu miundombinu makusudi ili ulishe mifugo ikiwa kijiji kingine wanakosa maji hiyo ni roho mabaya” amesema Mh. Queen Sendiga

Mh. Mkuu wa mkoa alizungumza na wananchi wa itunundu Pawaga swala la kupeleka watoto shule kwani madarasa ya yako tayari na kuandikisha ni bure hii ni baada ya takwimu kuonyesha kua uandikisha wa wanafinzi wa darasa la kwanza na awali kua mdogo kulingana na watoto wanao patikana katika maeneo hayo.

Mh. Queen Sendiga alihitimisha mkutano kwakuipongeza RUWASA kwa juhudi zao kuhakikisha maji yanafika kila sehem mkoani Iringa na kuisikiliza kero za wananchi wa pawaga ambapo kero kubwa ilikua ni maji kutoka kwa awamu pamoja marekebisho katika hospitali ya kata na akamtaka mkurugenzi pamoja na wataalamu wa maji kuhakikisha kero hizo zinatatuliwa kwa haraka.


Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • View All

Video

RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.