• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Iringa Region

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Iringa Region

  • Home
  • About Us
    • History
    • Location
    • Vision and Mission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Education
      • Planning and Coordination
      • Health and Social Welfare
      • Economic and Production
      • Infrastructure
      • Water Service
      • LGAs Management
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Service
      • Procurement Management Unit
  • Districts
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • District
    • Iringa MC
    • Mafinga TC
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Investiment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Ruaha National Park
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Civil Servant Cervices
  • Publications
    • Guidlines
    • Policies
    • News
    • Forms
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Videos
    • News Later
    • Events

RAIS DKT. SAMIA ATOA MKONO WA HERI KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM IRINGA

Posted on: March 30th, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa  watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani  Iringa  kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo mbuzi, mchele, mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea na kufulia pamoja na vinywaji. Akizungumza wakati wa kugawa Sadaka hiyo katika kituo cha kulelea watoto cha Sisi ni Kesho children homes Nyororo, kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Nyumba yetu orphanage center Isimani  na Amani Center katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Bi. Doris Kalasa amesema kuwa jamii inapaswa kuiga mfano huo mzuri kwa kuwajali watu wenye uhitaji kwa kuwa wananafasi ya kuishi kama binadamu wengine.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Dkt. MGIMBA AONGOZA TIMU KUKAGUA MIUNDOMBINU YA AFYA IRINGA

    August 21, 2025
  • DKT. SAMIA AIBADILISHA IRINGA KWA Bil. 7.5 ZA ELIMU

    August 05, 2025
  • TAARIFA YA KUWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA MABANDA YA MKOA WA IRINGA

    August 01, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA DUNIANI

    July 30, 2025
  • View All

Video

MAENDELEO KWA SASA BILA MAWASILIANO HAYAWEZEKANI- RC KHERI
More Videos

Quick Links

  • Iringa Region Revenue Collection
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Related Links

  • State House
  • Public Service Recruitment Secretariat
  • PORALG
  • National Bureau of Statitics
  • Information Department
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

COUNTER-free

Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Telephone: +255 262 702 715

    Mobile:

    Email: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.