Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba April 19,2025 ameongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Iringa katika kuaga mwili wa aliyekuwa Afisa Hesabu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Bi. Anna Kibao Aliyefariki April,15,2025 jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Akizungumza wakati wa ibada ya kumuaga marehemu huyo, Mhe. Peter Serukamba ametoa pole kwa familia na kuwataka wananchi kuishi kwa upendo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Telephone: +255 262 702 715
Mobile:
Email: ras@iringa.go.tz
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.