Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba akitoa taarifa ya Mkoa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM Leo Mei,18,2025 kwenye ukumbi wa CCM Mkoa.
Kwa kauli moja Halmashauri kuu ya ccm Mkoa wa iringa imeipokea na kuridhia taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya ccm ya mwaka 2020-2025
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Telephone: +255 262 702 715
Mobile:
Email: ras@iringa.go.tz
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.