Viongozi Mbalimbali Novemba 30,2024 wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, wameshiriki kwenye mazishi ya Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuazuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Bw. Crispin Chalamila Yaliyofanyika kata ya Ruaha eneo la Ipogolo Katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Telephone: +255 262 702 715
Mobile:
Email: ras@iringa.go.tz
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.