Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewapokea Wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo na kufanya nao mazungumzo juu ya mfumo himilivu wa Afya ya Udongo ambaopo mikoa mitatu ndio watanufaika na mfumo huo
Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa leo Januari 13,2025 wataalamu hao wamesema lengo kubwa la mfumo huo ni upimaji wa afya ya udongo kwa kuleta suluhu za changamoto za udongo, ambapo katika Mkoa wa Iringa zoezi hilo la upimaji wa Afya ya Udongo litafanyika katika wilaya ya Kilolo na Mufindi.
Katika wilaya ya kilolo Vijiji 6, kata,24 na Watu 4140 watafikiwa na udongo wao kupimwa, na Wilaya ya Mufindi Kata 4, vijiji 19 na watu 3052 watafikiwa, hivyo jumla ya watu 7192 katika mkoa wa Iringa watafikiwa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Postal Address: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Telephone: +255 262 702 715
Mobile:
Email: ras@iringa.go.tz
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.