Baadhi ya Maafisa Usafirishaji kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa na kutoka katika mashirika ya Serikali wakipokea hati ya pongezi kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba, kwa kutekeleza kazi maalumu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru Kimkoa kwa mwaka huu 2024, ambapo Mkoa wa Iringa Umeshika nafasi ya Nne kitaifa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.