Balozi wa Shirikisho la Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyani amewasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba kisha akatembelea katika Mashamba ya Chai na Kiwanda cha Chai Lugoda kilichopo kata ya Mninga Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.
Lengo la Balozi huyu Mkoani Iringa ni kuangalia fursa za uwekezaji zilizopo Mkoani Iringa na namna ya kuzitangaza Nchini Urusi Pamoja na Kuendeleza uhusiano uliyopo kati ya Tanzania na Urusi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.