Watumishi wa Ofisi ya Mkoa wa Iiringa,pamoja na wananchi wa Iringa,wanakupongeza Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Queen Cuthbert Sendiga kwa kuwa miongoni mwa wahitimu wa kwanza ambao mmetunukiwa cheti na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan,katika shule mpya ya uongozi ya mwalimu Julius Nyerere
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.