Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imetembelea Miradi mbali mbali na kuridhishwa na Miradi hiyo ikiwemo Hifadhi ya msitu wenye ukubwa wa Ekari 5,204, shamba darasa la mahindi kwa kutumia kilimo cha mzunguko na wanakikundi cha Agape wanaojishughulisha na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa katika Kijiji cha Ilalasimba, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.