Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala, Katiba na Sheria imeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa Miradi ya TASAF iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Kamati hiyo imetembelea katika shamba la miti lililopo katika kata ya ibumila na kujionea utekelezaji wa miradi na kupongeza mradi huo wa miti ambao utapelekea utunzaji wa mazingira na pia wanafunzi na wananchi waliopo katika maeneo hayo kujifunza namna ya utunzaji wa mazingira.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.