Katibu Tawala wa Mkoa Bi, Happynes Seneda. Leo ameongoza kikao kazi ambacho ameongea na Wakurugenzi, DMO's, wakaguzi, DEO's, wawekahazina wa Halmashauri zote na pamoja na Sekretarieti ya Mkoa.
Katika kikao hicho Katibu Tawala wa Mkoa Bi Seneda, amezitaka Halmashauri zote kuhakikisha wanakusanya mapato, pamoja na kutafuta vyanzo vipya vya mapato.
Pia ameitaka sekta ya Elimu kuhakikisha wanashika nafasi ya kwanza ki Taifa kwa madarasa yote yenye mithiani.
Bi Seneda, anewataka Halmashauri kuandaa taarifa nzuri na yenye takwimu sahihi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.