Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Bw. Venace Ntiyarundula, Agost,12,2024 amefungua na kuongoza kikao cha Kamati ya Lishe ya Mkoa kwa Niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Huku akiwataka wadau na Wataaalamu kuongeza nguvu na kuhakikisha wanatokomeza udumavu mkoani Iringa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.