Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Leo akiwa anarejea kutoka Mkoani Ruvuma alipokuwa kwa ajili ya Ziara ya kikazi.
Amepita Mkoani Iringa na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima O. Dendego na Viongozi wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) , katika Ikulu Ndogo iliyopo Mkoani Iringa. Tarehe 24/07/2023
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.