Waziri wa maliasili na utalii Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana amezindua mfumo wa kushughulikia malalamiko yatokanayo na shughuli za mradi wa kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utalii kusini REGROW.
Mradi huo unatarajiwa kutoa ajira zaidi ya 40,000 kwa wakulima na wananchi wanaoishi kando kando ya hifadhi za taifa na ukilenga kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi hizo, vivutio vya kitamaduni pamoja na mambo ya kale.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.