Mhe Queen Sendiga, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, akiwa ameambatana na waheshimiwa Wakuu wa Wilaya ya Iringa Mhe Moyo na Kilolo Mhe Peres, leo wameshiriki kwenye siku ya Utalii Duniani iliyoadhimishwa kwenye viwanja vya Gadeni (Posta) na baadae maandamano hayo yalihitimishwa kwa kupanda jiwe Gangilonga. Mhe Rc Sendiga amewapongeza waliondaa shughuli hii ya Utalii kwa sababu inaongeza chachu ya Utalii. Hata hivyo Mhe Rc amewataka wazawa kuwa na desturi ya kutembelea Vivutio vilivyopo ndani ya Mkoa wa Iringa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.