Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na chief wa wahehe Adam, pamoja na baraza la wazee wa kihehe Jana alipofanya mkutano wa hadhara katika tarafa ya ismani, huu ndio ulikuwa mkutano wa mwisho mkoani Iringa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.