Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya Mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Samora Mkoani Iringa, akiwa uwanjani hapo samora mhe Rais Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na mapokezi makubwa ya wananchi wa Mkoa wa Iringa, akitoa taarifa ya Mkoa Mhe Halima Mkuu wa Mkoa Iringa amemwambia Mhe Rais Samia kuwa umati huu umejaa hapa uwanjani kwa sababu ya fedha (mabilioni) nyingi za miradi mbalimbali inayotekelezwa Mkoani hapa hii ni kukuonesha shukran zao za dhati kwako wewe mhe Rais Samia.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.