Mkuu wa Mkoa wa İringa Mhe Halima O.Dendego amempokea Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa aliyewasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mapema leo hii kwaajili ya ziara ya kukagua Mradi wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege Mkoani İringa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.