Wananchi wa tarafa ya idodi wameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea skimu ya umwagiliaji inayowasaidia katika shughuli zao za kilimo.
Wakizungumza mara baada ya mkuu wa Mkoa wa iringa kufanya ziara ya kukagua mradi huo wananchi hao wametoa shukrani nyingi sana kuwa kwasasa uchumi utaendelea kukua kwa kasi katika eneo hilo.
Akizungumza katika mradi huo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ameridhishwa na ujenzi wa mradi huo huku akiwapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya na kuwataka kuweza kuukamilisha kwa sehemu zilizobaki
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.