Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh.Queen Cuthert Sendiga leo amefungua kongamano la kitaifa la tasnia ya parachichi kwaniaba ya Waziri wa Kilimo Mh.Hussein Bashe aliyepata majukumu mengine.
Kongamano hilo linafanyika Mafinga katika Mkoa wa Iringa limeandaliwa na Wizara ya kilimo ikishirikiana na programu ya AGRI-CONNECT inayofadhiliwa na umoja wa Ulaya (EU) huku mada kuu ni "kukuza ushindani katika Tasnia ya parachichi Tanzania"
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.