Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga amewaapisha wajumbe wa baraza la ardhi katika Wilaya ya Mufindi kwa lengo la kutatua migogoro mbalimbali ya ardhi ambayo inajitokeza wilayani humo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.