Mhe Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa Iringa, akiwa na bi, Happyness Seneda (RAS) pamoja na Mhe Asiha Abdallah (dc kilolo) na Mhe William Jamuhuri.
Akifungua kikao hicho Mhe Ally Hapi, Cha kutathimini Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa kipindi Cha Julai-Septemba 2020.
Pamoja na kuzindua Mpango Mkakati wa Lishe wa Mkoa, lakini pia kutambua Halmashauri zilizo fanya vizuri na vibaya ndani ya Mkoa.
Halmashauri ya kwanza iliyofanya fanya vizuri katika viashiria vyote
1. Mafinga mji
2. Manispaa
3. Mufindi
4. Iringa dc
5. Kilolo.
Mhe Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, amezitaka Halmashauri zote ndani ya Mkoa kutenga bajeti na kutoa fedha kwa ajili ya kusaidia masuala ya lishe kwa watoto ili kuondokana na udumavu
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.