Mkuu wa Mkoa wa Iringa ashiriki Mkutano Baraza la Madiwani Mufindi
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe.Queen Sendiga ameshiriki kikao maalumu cha baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Mufindi katika kujadili taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha unaoisha Tarehe 30, Juni 2021
Na katika kikao hicho Mhe.Queen Sendiga ameipongeza halmashauri ya Mufindi kwa kupata HATI SAFI.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.