Mwenge wa Uhuru 2024 ukiwa Mkoani Iringa Kwenye Halmashauri ya Mji Mafinga Umetembelea katika Shule ya Msingi ya Wanafunzi wenye mahitaji Maalumu ya Makalala huku kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Ndg.Godfrey Mzava akitoa shukrani kwa Serikali kwa kuwakumbuka wanafunzi hao kwa kuwaletea vifaa vya kusomea na kuwajengea miundombinu nzuri inayowafanya wasome bila changamoto yoyote.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.