Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewaimiza jeshi la polisi Mkoani Iringa kufanya kazi kwa nidhamu na kwa kufanya hivyo kazi yao itakuwa ni kazi nzuri na yenye weledi
Ameyasema hayo leo machi 22,2024 wakati alipokutana na viongozi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa ikiwa ni siku moja tu imepita alipokutana na wazee wa mkoa na viongozi wa dini wa Iringa
Akizungumza katika kikao hicho Mhe. Serukamba amesema “mimi niwaombe sana hakikisheni mnadumisha nidhamu ambayo nidhamu ndio msingi wa utendaji kazi wa Jeshi la Polisi na ninaamini mkifanya kazi kwa nidhamu mtaifanya kazi yenu kwa weledi”
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.