RC Ally Hapi amekutana na wadau wa utalii Mkoani Iringa, kuelezea juu ya uwekezaji ndani ya Mkoa. Kikao hicho kimeamsha hali ya uwekezaji kwa wamiliki wa Hoteli na kumuahidi Mkuu wa Mkoa kwamba watashirikiana na serikali ya Mkoa kwa kutoa huduma nzuri kwa watalii na wageni wengine, na kulipa mapato ya serikali. Wawekezaji hao wamepongeza juhudi za RC Ally Hapi na Katibu Tawala Happyness Seneda kwa juhudi zao za kubadilisha Iringa kimaendeleo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.