Mkuu wa Mkoa wa Iringa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dr. Detlef Waechter ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Ujerumani na Mkoa wa Iringa wana historia kubwa ya pamoja.
Balozi amekubali kuupatia mkoa wa Iringa mradi muhimu wa kukuza utalii kama sehemu ya kuenzi historia hiyo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.