Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, mapema leo hii Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la Wapiga litakalofanyika kuanzia Tarehe 11.10.2024 hadi tarehe 20.10.2024 kwenye vituo vitakavyopangwa.Mhe. Serukamba ametoa wito huo leo Septemba 26,2024 wakati alipofanya mkutano na waandishi wa Habari ofisini kwake.Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2024 unatarajia kufanyika Novemba 27,2024.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.